- Andika insha ndefu juu ya nyumba unayoitamani sana (your dream house). Andika kila kitu kuhusu nyumba hiyo. Since this is a hypothetical house, this is an excellent chance for you to practice -nge-, -ngeli- and -ngali- tense.
Monday, September 27, 2010
INSHA (ILETWE DARASANI JUMATANO - 29/10/2010)
TOA MAELEZO MAFUPI YA JINSI YA KUFIKA KWAKO
- Rafiki yako anataka kukutembelea na hajawahi kufika kwenu. Mpe maelezo marefu ya namna ya kufika kwenu kutokea Chuo Kikuu cha Florida kwa kutumia usafiri wa umma.
Monday, September 13, 2010
ZOEZI: TOA MAONI YAKO
I. Sikiliza wimbo huu hapa chini na kisha jibu maswali
(a) Umeupenda wimbo huu? Kwa nini?
(b) Unakubaliana na Dudu Baya kwamba "mwanamke tabia?" i.e Noeclexis
II. Ungekuwa mtu mwenye nguvu kuliko wote na kiongozi wa taifa tajiri kuliko yote duniani mf. Rais wa Marekani ungefanya nini ili kusaidia watu masikini hapa Marekani na duniani kote.
RATIBA YA KUWASILISHA DARASANI
- Mada yoyote kutoka mahali popote.
- HAKUNA kusoma - kuzungumza tu
- Dakika tano - saba
Septemba 2010
Jumatano - Septemba 15 = Mary-A
Ijumaa - Septemba 17 = Kelci D
Jumatatu - Septemba 20 = Maria
Jumatano - Septemba 22 = Taylor
Ijumaa - Septemba 24 - Rachel G
Jumatatu - Septemba 27 - Olivia
Jumatano - Septemba 29 - Whitney
Oktoba 2010
Jumatatu - Oktoba 4 - Kayla V
Jumatano - Oktoba 6 - Rachel GL
Ijumaa - Oktoba 8 - Jenny M
Subscribe to:
Posts (Atom)