Monday, September 15, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KARIBUNI TUJIFUNZE KISWAHILI - LUGHA NZURI NA RAHISI KUTOKA AFRIKA YA MASHARIKI. JISIKIE HURU KUTOA MAONI, KUULIZA NA KUJIBU MASWALI N.K. NI LAZIMA TUTUMIE LUGHA NZURI NA YA HESHIMA KWA KILA MTU. HAKUNA MATATA!
3 comments:
Ninafikiri bango hili ni muhimu. Afrika yote inaweza kuwa bila ukimwi. Ninajua pahali pengine watu wanaingiza baridi kupima kwa sababu ya matokeo. Lakini, ni lazima serikali imhamasishe kila mtu. Sijui iwapo upimaji ni bure Tanzania. Ninatumaini kuna mabango zaidi kusaidia ukimwi katika Tanzania.
-Joy
Ukimwi ni suala muhimu sana katika Afrika (na dunia) kote. Nchi za Kenya, Botswana, na Namibia zina mabango kama hili pia. Ninafakiri nchi za Afrika zinaweza kuwa zaaali laikini watu wanahitaji kufanya michaguo mizuri. Nilipotembelea nchi za Afrika niliona suala zinne zikuu kwa watu wa Afrika: ujamii nje ya ndoa, kunywa pombe sana, ufisadi, na ubaridi au utepetevu. Kwa hivyo ukimwi umepambamoto na wanaume wengi hawafanyi kazi. Suala hizi zitengeneze zingekuwa nchi za Afrika nzuri sana. Hizi ni suala za adili na utatuzi wa adili tu utazitengeneza.
Asimilia 6,2 Watanzania wanaambukizwa na UKIMWI. 140.000 watoto Watanzania wanaambukizwa na UKIMWI. Nini itaweza kufanya kutua mlipuko wa UKIMWI katika nchini za Afrika? Watu wanahitaji kujua uzuiaji wa UKIMWI. Wanahitaji kujua kama UKIMWI wanaeneza na wanajikinga.
Post a Comment