Monday, October 27, 2008

MWANASIASA

Unaweza kusema cho chote juu ya Mwanasiasa huyu?

Tuesday, October 21, 2008

SOMO LA TANO - ELIMU

(1) SARUFI (uk 83 - 85)

(2) Jiandae kuzungumza juu ya zoezi la tatu (uk 85)

(3) Fanya zoezi la saba (uk 89)

(4) Soma na uelewe ufahamu (uk 88-89). Ni lazima ufahamu vizuri maneno yaliyokolezwa wino (bolded)

(5) Unaipenda elimu ya jadi ya Kiafrika? Kwa nini?

Chakubanga
Mume wangu Chakubanga ! Leo nimekupikia chakula bora, ukwaju na mapapai kwa mtindo wa kisasa. Kaongeze ndimu na malimau redio imesema !

- Chakubanga my husband ! today I've cooked for you new cuisine : tamarind and papaya of the day. Add some lemons and limes, they said in the radio !

MASHINDANO YA UREMBO




















SWALI: Taja rangi za blauzi na sketi ya mshiriki huyu wa mashindano ya urembo. Hizo ni rangi za bendera ya taifa ya Tanzania. Bendera ya Marekani ina rangi ngapi? Unafahamu maana yake?

RAISI GEORGE BUSH ALIPOTEMBELEA TANZANIA

(1) AIR FORCE ONE - NDEGE YA RAISI WA MAREKANI











(2) RAISI ALIBURUDISHWA NA NGOMA ZA KIENYEJI AKIWA BADO KATIKA ZULIA JEKUNDU UWANJA WA NDEGE.











































(3) KAN
GA ZA KUMKARIBISHA















































































































(4) RAIS BUSH NA WAMASAI




































(5) WAKE WA MARAISI (MAMA BUSH NA MAMA KIKWETE)



















(6) KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA














































(7) WAISLAMU WALIANDAMANA KUPINGA ZIARA HIYO














(8) RAISI BUSH AKIWA NA MWENYEJI WAKE RAISI KIKWETE WA TANZANIA















(9) RAISI BUSH NA MKEWE WAKIAGWA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.




















MASWALI


(1) Baada ya kuangalia picha hizi una maoni yo yote kuhusu jambo lolote lililokuvutia, kukushangaza na hata kukukasirisha?

(2) Kanga za Bush zinasemaje? Umezipenda?

WAUZAJI WADOGO WADOGO

Huyu kijana anauza nini? Unataka kununua anachokiuza? Andika mazungumzo (dialogue) jinsi utakavyomuomba akupunguzie bei.

SOMO LA NNE - KUUZA NA KUNUNUA

(1) Someni habari za Sarufi (uk. 69-70)

(2) Someni mazungumzo ya pili na hakikisheni kwamba mnafahamu maneno yaliyokolezwa (bolded). Mkazo (attention) pia ni katika vitenzi ambatano (compound verbs) m.f. -tunataka atuambie, tunataka kwenda, tutakuona utakapokuja, tulimwona alipokinunua, nilikuna ninakula n.k.

(3) Ni lazima msome mazoezi ya UTAMADUNI (uk. 77)

(4) Ni lazima mfahamu jinsi ya kununua vitu kwa wauzaji wadogo wadogo na jinsi ya kuomba punguzo la bei.

Thursday, October 2, 2008

KAZI YA KESHO IJUMAA (10/3/2008)

Hatutakuwa na darasa kesho (10/3/08). Baada ya kupitia maneno haya chini, jaribu kutoa maelekezo (directions) kutoka chuo kikuu cha Florida mpaka nyumbani kwako. Tutazungumza juu ya "directions" Jumatatu. Jaribu kueleza kila kitu

(1) Pande nane za dunia (Kaskazini, Kusini, Mashariki, Magharibi, Kaskazini Mashariki n.k.)

(2) Kushoto, kulia, mbele, nyuma, pembeni, katikati

(3) Kata/pinda kushoto, kata/pinda kulia, nenda mbele, nenda moja kwa moja, simama.

Tafsiri: go back, behind you, on your left, to your right, don't stand here.

MSAMIATI WA SOMO LA TATU

Ni lazima ufahamu maneno haya na jinsi ya kuyatumia katika sentensi

kulelewa na
takriban
makao makuu
makazi
matabaka ya watu - tabaka la juu, tabaka la kati na tabaka la chini
hudumia
-kimataifa
mikutano
-punguza
ikulu
bunge
jiji
shaghalabaghala
Umoja wa Mataifa